Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 20:3 - Swahili Revised Union Version

3 Watu wakashindana na Musa, wakanena, wakisema, Ingekuwa heri kama tungekufa wakati ule ndugu zetu walipokufa mbele za BWANA!

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Waliwalalamikia wote wakisema, “Afadhali tungekufa pamoja na ndugu zetu mbele ya hema la Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Waliwalalamikia wote wakisema, “Afadhali tungekufa pamoja na ndugu zetu mbele ya hema la Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Waliwalalamikia wote wakisema, “Afadhali tungekufa pamoja na ndugu zetu mbele ya hema la Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Watu wakagombana na Musa, na kusema, “Laiti tungekufa ndugu zetu walipokufa mbele za Mwenyezi Mungu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Watu wakagombana na Musa, na kusema, “Laiti tungelikufa wakati ndugu zetu walipoanguka na kufa mbele za bwana!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Watu wakashindana na Musa, wakanena, wakisema, Ingekuwa heri kama tungekufa wakati ule ndugu zetu walipokufa mbele za BWANA!

Tazama sura Nakili

Hesabu 20:3
13 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu waliiasi roho yake, Akasema yasiyofaa kwa midomo yake.

Naam, walimwambia Mungu, wakasema, Je! Mungu aweza kuandaa meza jangwani?

Kwa hiyo hao watu wakamgombeza Musa, wakasema, Tupe maji tunywe. Musa akawaambia, Kwa nini mnanigombeza? Mbona mnamjaribu BWANA?

Heri wale waliouawa kwa upanga Kuliko wao waliouawa kwa njaa; Maana hao husinyaa, wakichomwa Kwa kukosa matunda ya mashamba.

Kisha hao watu walikuwa kama wanung'unikao, wakinena maovu masikioni mwa BWANA; BWANA aliposikia hayo, hasira zake zikawaka; na moto wa BWANA ukawaka kati yao, ukateketeza hadi viunga vya kambi.

Mbona BWANA anatuleta mpaka nchi hii ili tuanguke kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watakuwa mateka; je! Si afadhali turudi Misri?

Basi waliokufa kwa tauni walikuwa elfu kumi na nne na mia saba, zaidi ya hao waliokufa katika jambo la Kora.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo