Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 18:25 - Swahili Revised Union Version

25 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Kisha, Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Kisha, Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Kisha, Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Mwenyezi Mungu akamwambia Musa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 bwana akamwambia Musa,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

Tazama sura Nakili




Hesabu 18:25
2 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa zaka ya wana wa Israeli, waisongezayo kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA, nimewapa Walawi kuwa urithi wao; kwa hiyo nimewaambia, ya kwamba, katika wana wa Israeli hawatakuwa na urithi wowote.


Tena utanena na Walawi, na kuwaambia, Hapo mtakapoitwaa zaka mkononi mwa wana wa Israeli niliyowapa ninyi kutoka kwao kuwa urithi wenu, ndipo mtakaposongeza sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA katika hiyo, iwe zaka katika hiyo zaka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo