Hesabu 18:13 - Swahili Revised Union Version13 Matunda ya kwanza yaivayo katika yote yaliyo katika nchi yao, watakayomletea BWANA, yatakuwa yako, kila mtu aliye safi katika nyumba yako atakula katika vitu hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mazao yote ya kwanza ya matunda mabivu ya mashamba yao ambayo wataniletea mimi, yatakuwa yako. Kila mtu asiye najisi katika jamaa yako anaweza kula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mazao yote ya kwanza ya matunda mabivu ya mashamba yao ambayo wataniletea mimi, yatakuwa yako. Kila mtu asiye najisi katika jamaa yako anaweza kula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mazao yote ya kwanza ya matunda mabivu ya mashamba yao ambayo wataniletea mimi, yatakuwa yako. Kila mtu asiye najisi katika jamaa yako anaweza kula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Malimbuko yote ya nchi ambayo wanamletea Mwenyezi Mungu yatakuwa yenu. Kila mmoja nyumbani mwako ambaye ametakasika anaweza kula. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Malimbuko yote ya nchi ambayo wanamletea bwana yatakuwa yenu. Kila mmoja nyumbani kwako ambaye ni safi kwa taratibu za Ibada anaweza kula. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Matunda ya kwanza yaivayo katika yote yaliyo katika nchi yao, watakayomletea BWANA, yatakuwa yako, kila mtu aliye safi katika nyumba yako atakula katika vitu hivyo. Tazama sura |