Hesabu 16:7 - Swahili Revised Union Version7 vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za BWANA kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu atakayechaguliwa na BWANA, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za Mwenyezi Mungu. Mtu ambaye Mwenyezi Mungu atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za bwana. Mtu ambaye bwana atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za BWANA kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu atakayechaguliwa na BWANA, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi. Tazama sura |