Hesabu 16:41 - Swahili Revised Union Version41 Lakini siku ya pili yake mkutano wote wa wana wa Israeli wakamnung'unikia Musa, na Haruni, wakasema, Ninyi mmewaua watu wa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Kesho yake, Waisraeli wote walimnungunikia Mose na Aroni wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Kesho yake, Waisraeli wote walimnungunikia Mose na Aroni wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Kesho yake, Waisraeli wote walimnung'unikia Mose na Aroni wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Siku iliyofuata jumuiya yote ya Waisraeli wakanung’unika dhidi ya Musa na Haruni, wakisema, “Mmewaua watu wa Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Siku iliyofuata jumuiya yote ya Kiisraeli wakanung’unika dhidi ya Musa na Haruni, wakisema, “Mmewaua watu wa bwana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Lakini siku ya pili yake mkutano wote wa wana wa Israeli wakawanung'unikia Musa, na Haruni, wakasema, Ninyi mmewaua watu wa BWANA. Tazama sura |