Hesabu 15:32 - Swahili Revised Union Version32 Kisha wakati huo wana wa Israeli walipokuwako jangwani, wakamwona mtu mmoja akikusanya kuni siku ya Sabato. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Siku moja, wakati Waisraeli walipokuwa jangwani, walimwona mtu mmoja akiokota kuni siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Siku moja, wakati Waisraeli walipokuwa jangwani, walimwona mtu mmoja akiokota kuni siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Siku moja, wakati Waisraeli walipokuwa jangwani, walimwona mtu mmoja akiokota kuni siku ya Sabato. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Waisraeli walipokuwa jangwani, mtu mmoja alikutwa akikusanya kuni siku ya Sabato. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Waisraeli walipokuwa jangwani, mtu mmoja alikutwa akikusanya kuni siku ya Sabato. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Kisha wakati huo wana wa Israeli walipokuwako jangwani, wakamwona mtu mmoja akikusanya kuni siku ya Sabato. Tazama sura |