Hesabu 15:23 - Swahili Revised Union Version23 hayo yote BWANA aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo BWANA aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 kama siku zijazo watu hawatafuata yote ambayo mimi Mwenyezi-Mungu nimemwamuru Mose, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 amri yoyote ya Mwenyezi Mungu kwenu kupitia Musa, tangu siku ile Mwenyezi Mungu alipowapa na inaendelea hadi vizazi vyote vijavyo; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 amri yoyote ya bwana kwenu kupitia Musa, tangu siku ile bwana alipowapa na inaendelea hadi vizazi vyote vijavyo; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 hayo yote BWANA aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo BWANA aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu Tazama sura |
ndipo itakapokuwa, kama ni kosa lililofanywa pasipo kujua, wala mkutano haukuwa na fahamu, ndipo mkutano wote utasongeza ng'ombe dume mdogo mmoja kuwa sadaka ya kuteketezwa, kuwa harufu ya kupendeza kwa BWANA, pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka yake ya kinywaji, kama amri ilivyo, na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi.