Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 15:22 - Swahili Revised Union Version

22 Tena mtakapokosa, msiyashike maagizo hayo yote BWANA aliyomwambia Musa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 “Lakini ikiwa mtakosa kuzifuata amri zote ambazo mimi Mwenyezi-Mungu nimewapa kwa njia ya Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 “Lakini ikiwa mtakosa kuzifuata amri zote ambazo mimi Mwenyezi-Mungu nimewapa kwa njia ya Mose,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 “Lakini ikiwa mtakosa kuzifuata amri zote ambazo mimi Mwenyezi-Mungu nimewapa kwa njia ya Mose,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 “ ‘Basi kama pasipo kukusudia umeshindwa kushika mojawapo katika amri hizi ambazo Mwenyezi Mungu alimpa Musa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 “ ‘Basi kama pasipo kukusudia umeshindwa kushika mojawapo katika amri hizi ambazo bwana alimpa Musa,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Tena mtakapokosa, msiyashike maagizo hayo yote BWANA aliyomwambia Musa,

Tazama sura Nakili




Hesabu 15:22
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ni nani awezaye kuyatambua makosa yake? Unitakase na mambo ya siri.


Haya, nena na wana wa Israeli, uwaambie, Kama mtu yeyote akifanya dhambi pasipo kukusudia, katika neno lolote ambalo BWANA amelizuilia lisifanywe, na kutenda neno lolote la maneno hayo;


Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lolote kati ya hayo ambayo BWANA, Mungu wake, aliyazuilia yasifanywe, naye amepata hatia;


Na mtu yeyote kati ya watu wa nchi akifanya dhambi pasipo kukusudia, kwa kufanya neno lolote katika hayo ambayo BWANA alizuilia yasifanywe, naye akapata hatia;


Na huyo kuhani atamfanyia upatanisho kwa ajili ya dhambi yake ambayo katika mambo hayo mojawapo amefanya dhambi, naye atasamehewa; na unga uliosalia utakuwa wa kuhani, kama hiyo sadaka ya unga ilivyokuwa.


Malimbuko ya unga wenu mtampa BWANA sadaka ya kuinuliwa, katika vizazi vyenu.


hayo yote BWANA aliyowaagiza kwa mkono wa Musa, tangu siku hiyo BWANA aliyoleta maagizo, na baadaye katika vizazi vyenu


Na yule asiyejua, naye amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa kidogo. Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na zaidi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo