Hesabu 15:12 - Swahili Revised Union Version12 Kama idadi ilivyo ya hao mtakaowaandaa, ndivyo mtakavyofanya kwa kila mmoja, sawa na idadi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Hesabu ya vitu hivyo itaongezwa kulingana na hesabu ya wanyama watakaotolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Hesabu ya vitu hivyo itaongezwa kulingana na hesabu ya wanyama watakaotolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Hesabu ya vitu hivyo itaongezwa kulingana na hesabu ya wanyama watakaotolewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Fanyeni hivi kwa ajili ya kila mmoja, kwa kadiri ya wingi wa mtakavyoandaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Fanyeni hivi kwa ajili ya kila mmoja, kwa kadiri ya wingi wa mtakavyoandaa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kama idadi ilivyo ya hao mtakaowaandaa, ndivyo mtakavyofanya kwa kila mmoja, sawa na idadi yao. Tazama sura |