Hesabu 11:6 - Swahili Revised Union Version6 lakini sasa roho zetu zimekauka; hakuna kitu chochote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini sasa nguvu zimetuishia na hakuna chakula kingine isipokuwa hii mana tu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 lakini sasa roho zetu zimekauka; hakuna kitu chochote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu. Tazama sura |