Hesabu 10:32 - Swahili Revised Union Version32 Isitoshe, ukienda pamoja nasi, naam, mema yote ambayo BWANA atatutendea, nawe tutakutendea vivyo hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na bwana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Isitoshe, ukienda pamoja nasi, naam, mema yote ambayo BWANA atatutendea, nawe tutakutendea vivyo hivyo. Tazama sura |