Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 1:33 - Swahili Revised Union Version

33 wale waliohesabiwa katika kabila la Efraimu, walikuwa watu elfu arubaini na mia tano (40,500).

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 walikuwa watu 40,500.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 walikuwa watu 40,500.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 walikuwa watu 40,500.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu elfu arobaini na mia tano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

33 wale waliohesabiwa katika kabila la Efraimu, walikuwa watu elfu arobaini na mia tano (40,500).

Tazama sura Nakili




Hesabu 1:33
7 Marejeleo ya Msalaba  

Babaye akakataa, akasema, Najua, mwanangu najua, yeye naye atakuwa taifa, yeye naye atakuwa mkuu; lakini ndugu yake mdogo atakuwa mkubwa kuliko yeye, na uzao wake watakuwa mataifa mengi


Basi sasa wanao wawili uliozaliwa katika nchi ya Misri kabla sijaja kwako Misri ni watoto wangu, yaani, Efraimu na Manase watakuwa wangu, kama Reubeni na Simeoni.


Katika wana wa Yusufu, maana katika wana wa Efraimu, vizazi vyao kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani,


Katika wana wa Manase, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;


Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na mia tano.


Hawa ndio jamaa wa wana wa Efraimu kama waliohesabiwa kwao, elfu thelathini na mbili na mia tano. Hao ndio wana wa Yusufu kwa jamaa zao.


Mzaliwa wa kwanza wa ng'ombe wake mume, enzi ni yake; Na pembe zake ni pembe za nyati; Kwa hizo atayasukuma mataifa yote, hata ncha za nchi; Nao ni makumi ya maelfu ya Efraimu, Nao ni maelfu ya Manase.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo