Hagai 2:8 - Swahili Revised Union Version8 Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 ‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 ‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema bwana Mwenye Nguvu Zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi. Tazama sura |