Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hagai 2:11 - Swahili Revised Union Version

11 BWANA wa majeshi asema hivi, Waulizeni sasa makuhani kuhusu sheria, mkisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 akamwambia: “Waambie makuhani watoe uamuzi juu ya jambo hili:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 akamwambia: “Waambie makuhani watoe uamuzi juu ya jambo hili:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 akamwambia: “Waambie makuhani watoe uamuzi juu ya jambo hili:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: ‘Ulizeni makuhani jinsi sheria inavyosema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Hili ndilo asemalo bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Ulizeni makuhani jinsi sheria inavyosema:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 BWANA wa majeshi asema hivi, Waulizeni sasa makuhani kuhusu sheria, mkisema,

Tazama sura Nakili




Hagai 2:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Makuhani wake wameivunja sheria yangu, wametia unajisi vitu vyangu vitakatifu; hawakuweka tofauti ya vitu vitakatifu na vitu vya kutumiwa sikuzote; wala hawakuwafundisha watu kupambanua vitu vichafu na vitu vilivyo safi, nao wamefumba macho yao, wasiziangalie sabato zangu, nami nimetiwa unajisi kati yao.


Kwa maana yapasa midomo ya kuhani ihifadhi maarifa, tena yawapasa watu kuitafuta sheria kinywani mwake; kwa kuwa yeye ni mjumbe wa BWANA wa majeshi.


Watamfundisha Yakobo hukumu zako, Na Israeli torati yako, Wataweka uvumba mbele zako, Na sadaka nzima za kuteketezwa madhabahuni mwako.


akilishika lile neno la imani vile vile kama alivyofundishwa, apate kuweza kuwaonya watu kwa mafundisho yenye uzima, na kuwashinda wenye kupinga.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo