Hagai 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Katika mwezi wa saba, siku ya ishirini na moja ya mwezi, neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mnamo siku ya ishirini na moja, mwezi wa saba mwaka huohuo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Hagai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mnamo siku ya ishirini na moja, mwezi wa saba mwaka huohuo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Hagai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mnamo siku ya ishirini na moja, mwezi wa saba mwaka huohuo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Hagai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Katika siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba, neno la Mwenyezi Mungu lilikuja kupitia nabii Hagai, kusema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Katika siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba, neno la bwana lilikuja kupitia nabii Hagai, kusema: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Katika mwezi wa saba, siku ya ishirini na moja ya mwezi, neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema, Tazama sura |