Hagai 1:10 - Swahili Revised Union Version10 Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa zisitoe umande, nayo nchi imezuiliwa isitoe matunda yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ndio maana mbingu zimeacha kunyesha mvua, nayo ardhi haioteshi mavuno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ndio maana mbingu zimeacha kunyesha mvua, nayo ardhi haioteshi mavuno. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ndio maana mbingu zimeacha kunyesha mvua, nayo ardhi haioteshi mavuno. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kwa hiyo, mbingu zimezuia umande wake na ardhi mavuno yake kwa sababu yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa hiyo, kwa sababu yenu mbingu zimezuia umande wake na ardhi mavuno yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa zisitoe umande, nayo nchi imezuiliwa isitoe matunda yake. Tazama sura |