Ezra 4:21 - Swahili Revised Union Version21 Sasa toeni amri kuwakomesha watu hawa kazi yao, mji huu usijengwe, hadi nitakapotoa amri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kwa hiyo, toeni amri watu hao waache kuujenga upya mji huo hadi hapo nitakapotoa maagizo mengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kwa hiyo, toeni amri watu hao waache kuujenga upya mji huo hadi hapo nitakapotoa maagizo mengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kwa hiyo, toeni amri watu hao waache kuujenga upya mji huo hadi hapo nitakapotoa maagizo mengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kwa hiyo toeni amri kwa watu hawa wasimamishe ujenzi, ili mji huu usiendelee kujengwa hadi nitakapoagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kwa hiyo toeni amri kwa watu hawa wasimamishe ujenzi, ili kwamba mji huu usiendelee kujengwa hadi nitakapoagiza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Sasa toeni amri kuwakomesha watu hawa kazi yao, mji huu usijengwe, hadi nitakapotoa amri. Tazama sura |