Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezra 2:66 - Swahili Revised Union Version

66 Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu wao, mia mbili arubaini na watano;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

66 Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

66 Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

66 Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

66 Walikuwa na farasi mia saba thelathini na sita (736), nyumbu mia mbili arobaini na watano (245),

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

66 Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

66 Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu wao, mia mbili arobaini na watano;

Tazama sura Nakili




Ezra 2:66
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaleta kila mtu zawadi yake, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, na silaha, na manukato, na farasi, na nyumbu, hesabu yake ya mwaka kwa mwaka.


tena, zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wa kiume na wa kike, ambao walikuwa elfu saba, na mia tatu na thelathini na saba; nao walikuwa na waimbaji wa kiume na wa kike mia mbili.


ngamia wao, mia nne thelathini na watano; punda wao elfu sita, mia saba na ishirini.


Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu zao, mia mbili arubaini na watano;


Mtazishika amri zangu. Usiwaache wanyama wako wa mfugo wakazaana kwa namna mbalimbali; usipande shamba lako mbegu za namna mbili pamoja; wala usivae mwilini mwako nguo ya namna mbili zilizochanganywa pamoja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo