Ezra 1:9 - Swahili Revised Union Version9 Na hii ndiyo hesabu yake; sinia za dhahabu thelathini, sinia za fedha elfu moja, visu ishirini na tisa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ifuatayo ndiyo hesabu yake: Bakuli 30 za dhahabu; bakuli 1,000 za fedha; vyetezo 29; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ifuatayo ndiyo hesabu yake: Bakuli 30 za dhahabu; bakuli 1,000 za fedha; vyetezo 29; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ifuatayo ndiyo hesabu yake: bakuli 30 za dhahabu; bakuli 1,000 za fedha; vyetezo 29; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Hii ilikuwa orodha ya vifaa: masinia ya dhahabu yalikuwa thelathini; masinia ya fedha yalikuwa elfu moja; vyetezo vya fedha vilikuwa ishirini na tisa; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9-10 Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Na hii ndiyo hesabu yake; sinia za dhahabu thelathini, sinia za fedha elfu moja, visu ishirini na tisa; Tazama sura |