Ezra 1:10 - Swahili Revised Union Version10 mabakuli ya dhahabu thelathini, mabakuli ya fedha ya namna ya pili mia nne na kumi, na vyombo vingine elfu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 bakuli ndogo za dhahabu 30; bakuli ndogo za fedha 410; vyombo vinginevyo 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 bakuli ndogo za dhahabu 30; bakuli ndogo za fedha 410; vyombo vinginevyo 1,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 bakuli ndogo za dhahabu 30; bakuli ndogo za fedha 410; vyombo vinginevyo 1,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 mabakuli ya dhahabu yalikuwa thelathini; mabakuli ya fedha yaliyofanana yalikuwa mia nne na kumi; vifaa vingine vilikuwa elfu moja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 mabakuli ya dhahabu thelathini, mabakuli ya fedha ya namna ya pili mia nne na kumi, na vyombo vingine elfu moja. Tazama sura |