Esta 3:5 - Swahili Revised Union Version5 Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hamwinamii wala kumsujudia, alighadhibika sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima, alighadhibika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wakati Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima alighadhibika. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19375 Hamani alipoona, ya kuwa Mordekai hampigii magoti, wala hamwangukii, ndipo, makali yenye moto yalipomjaa Hamani moyoni. Tazama sura |