Esta 3:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi watumishi wa mfalme walioketi langoni pa mfalme wakamwambia Mordekai, Mbona wewe waivunja amri ya mfalme? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Maofisa kadhaa wa mfalme waliokuwa penye lango la mfalme, wakamwuliza Mordekai, “Mbona wewe waidharau amri ya mfalme?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Maofisa kadhaa wa mfalme waliokuwa penye lango la mfalme, wakamwuliza Mordekai, “Mbona wewe waidharau amri ya mfalme?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Maofisa kadhaa wa mfalme waliokuwa penye lango la mfalme, wakamwuliza Mordekai, “Mbona wewe waidharau amri ya mfalme?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha maafisa wa mfalme waliokuwa langoni mwa mfalme walimuuliza Mordekai, “Kwa nini hutii agizo la mfalme?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha maafisa wa mfalme waliokuwa langoni mwa mfalme walimuuliza Mordekai, “Kwa nini hutii agizo la mfalme?” Tazama suraSwahili Roehl Bible 19373 Watumishi wa mfalme waliokuwako langoni kule kwa mfalme wakamwuliza Mordekai: Mbona unaikosea amri ya mfalme? Tazama sura |