Esta 3:2 - Swahili Revised Union Version2 Nao watumishi wote wa mfalme, walioketi langoni pa mfalme, wakainama na kumsujudia Hamani, maana ndivyo mfalme alivyoamuru wamfanyie. Lakini Mordekai hakumwinamia, wala kumsujudia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mfalme aliamuru maofisa wote wa serikali yake wamtii Hamani kwa kumwinamia na kumsujudia. Lakini Mordekai, hakumwinamia wala kumsujudia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mfalme aliamuru maofisa wote wa serikali yake wamtii Hamani kwa kumwinamia na kumsujudia. Lakini Mordekai, hakumwinamia wala kumsujudia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mfalme aliamuru maofisa wote wa serikali yake wamtii Hamani kwa kumwinamia na kumsujudia. Lakini Mordekai, hakumwinamia wala kumsujudia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Maafisa wote wa mfalme waliokaa langoni mwa mfalme walipiga magoti na kumpa Hamani heshima, kwa kuwa mfalme alikuwa ameamuru hili kuhusu Hamani. Lakini Mordekai hakumpigia magoti wala kumheshimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Maafisa wote wa mfalme waliokaa langoni mwa mfalme walipiga magoti na kumpa Hamani heshima, kwa kuwa mfalme alikuwa ameamuru hili kuhusu Hamani. Lakini Mordekai hakumpigia magoti wala kumheshimu. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19372 Kwa hiyo watumishi wote wa mfalme waliokuwako kule langoni kwa mfalme wakampigia Hamani magoti na kumwangukia, kwani hivyo ndivyo, mfalme alivyoagiza kwa ajili yake. Lakini Mordekai hakumpigia magoti, wala hakumwangukia. Tazama sura |