Danieli 9:18 - Swahili Revised Union Version18 Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na mji ule ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei maombi yetu kwa sababu ya haki yetu, lakini kwa sababu ya rehema zako nyingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Tega sikio, ee Mungu wangu; angalia uone taabu tulizo nazo na jinsi unavyotaabika huo mji uitwao kwa jina lako. Tunakutolea maombi yetu si kwa sababu tumetenda haki, bali kwa sababu wewe una huruma nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Tega sikio, ee Mungu wangu; angalia uone taabu tulizo nazo na jinsi unavyotaabika huo mji uitwao kwa jina lako. Tunakutolea maombi yetu si kwa sababu tumetenda haki, bali kwa sababu wewe una huruma nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Tega sikio, ee Mungu wangu; angalia uone taabu tulizo nazo na jinsi unavyotaabika huo mji uitwao kwa jina lako. Tunakutolea maombi yetu si kwa sababu tumetenda haki, bali kwa sababu wewe una huruma nyingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ee Mungu, tega sikio, ukasikie; fumbua macho yako ukaone ukiwa wa mji ule wenye Jina lako. Hatukutolei maombi yetu kwa sababu sisi tuna haki, bali kwa sababu ya rehema zako nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ee Mungu, tega sikio na ukasikie; fumbua macho yako ukaone ukiwa wa mji ule wenye Jina lako. Hatukutolei maombi yetu kwa sababu sisi tuna haki, bali kwa sababu ya rehema zako nyingi. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193718 Mungu wangu, litege sikio lako, usikie! Yafumbue macho yako, uyaone mabomoko yetu, nao mji huo ulioitwa kwa Jina lako! Kwani tukiyatoa haya malalamiko yetu usoni pako, si kwa wongofu wetu sisi, ila kwa huruma zako nyingi.* Tazama sura |