Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 9:10 - Swahili Revised Union Version

10 wala hatukuitii sauti ya BWANA, Mungu wetu, kwa kwenda katika sheria zake, alizoziweka mbele yetu kwa kinywa cha watumishi wake, manabii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Tulikataa kukusikiliza, ee Bwana, Mungu wetu; hatukuishi kulingana na sheria zako ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Tulikataa kukusikiliza, ee Bwana, Mungu wetu; hatukuishi kulingana na sheria zako ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Tulikataa kukusikiliza, ee Bwana, Mungu wetu; hatukuishi kulingana na sheria zako ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Hatukumtii Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, wala kuzishika sheria alizotupatia kupitia kwa watumishi wake, manabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Hatukumtii bwana Mwenyezi Mungu wetu wala kuzishika sheria alizotupa kupitia kwa watumishi wake manabii.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

10 Hatukuisikia sauti ya Bwana Mungu wetu, tuyafuate Maonyo yake, aliyotupa mikononi mwa watumishi wake wafumbuaji, tuyaangalie.

Tazama sura Nakili




Danieli 9:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

kwa sababu hawakuitii sauti ya BWANA, Mungu wao, bali waliyavunja maagano yake, mambo yote ambayo Musa mtumishi wa BWANA aliwaamuru, wasikubali kuyasikiliza, wala kuyatenda.


Ndipo utakapowaambia, Ni kwa sababu baba zenu wameniacha mimi, asema BWANA, na kuwafuata miungu mingine, na kuwatumikia, na kuwaabudu, wakaniacha mimi, wasiishike torati yangu;


nao wakaingia, wakaimiliki; lakini hawakuitii sauti yako, wala hawakuenda katika sheria yako; hawakutenda neno lolote katika haya uliyowaagiza wayatende; basi, kwa sababu hii umeleta juu yao mabaya haya yote;


wala hatukuwasikiliza watumishi wako, manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, na watu wote wa nchi.


Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo