Danieli 7:26 - Swahili Revised Union Version26 Lakini hukumu itawekwa, nao watamwondolea mamlaka yake, kuipoteza na kuiangamiza, hata milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Lakini mahakama itafanya kikao; watamnyanganya utawala wake, nao utafutwa na kuangamizwa kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Lakini mahakama itafanya kikao; watamnyanganya utawala wake, nao utafutwa na kuangamizwa kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Lakini mahakama itafanya kikao; watamnyang'anya utawala wake, nao utafutwa na kuangamizwa kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “ ‘Lakini mahakama itakaa kuhukumu, nayo mamlaka yake yataondolewa na kuangamizwa kabisa milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “ ‘Lakini mahakama itakaa kuhukumu, nayo mamlaka yake yataondolewa na kuangamizwa kabisa milele. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193726 Zitakapokwisha atahukumiwa, wamnyang'anye nguvu zake za kutawala, wazitoweshe na kumwangamiza kabisa. Tazama sura |