Danieli 7:24 - Swahili Revised Union Version24 Na habari za zile pembe kumi, katika ufalme huo wataondoka wafalme kumi; na mwingine ataondoka baada ya hao; naye atakuwa mbali na hao wa kwanza; naye atawashusha wafalme watatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Zile pembe kumi ni wafalme kumi watakaotokana na ufalme huo. Halafu watafuatwa na mfalme mwingine ambaye atakuwa tofauti na wale waliomtangulia, na atawaangusha wafalme watatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Zile pembe kumi ni wafalme kumi watakaotokana na ufalme huo. Halafu watafuatwa na mfalme mwingine ambaye atakuwa tofauti na wale waliomtangulia, na atawaangusha wafalme watatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Zile pembe kumi ni wafalme kumi watakaotokana na ufalme huo. Halafu watafuatwa na mfalme mwingine ambaye atakuwa tofauti na wale waliomtangulia, na atawaangusha wafalme watatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Zile pembe kumi ni wafalme kumi watakaotokana na ufalme huu. Baada yao mfalme mwingine atainuka, ambaye atakuwa tofauti na wale waliotangulia, naye atawaangusha wafalme watatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Zile pembe kumi ni wafalme kumi watakaotokana na ufalme huu. Baada yao mfalme mwingine atainuka, ambaye atakuwa tofauti na wale waliotangulia, naye atawaangusha wafalme watatu. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193724 Nazo zile pembe kumi ni kwamba: Katika ufalme huo watainuka wafalme kumi; nyuma yao atainuka mwingine asiyefanana na wenzake waliokuwa mbele yake, naye ataangusha chini wafalme watatu. Tazama sura |