Danieli 7:18 - Swahili Revised Union Version18 Lakini watakatifu wake Aliye Juu wataupokea ufalme, na kuumiliki huo ufalme milele, naam hata milele na milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini watakatifu wa Mungu Mkuu watapewa ufalme, nao wataumiliki ufalme huo milele na milele.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini watakatifu wa Mungu Mkuu watapewa ufalme, nao wataumiliki ufalme huo milele na milele.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini watakatifu wa Mungu Mkuu watapewa ufalme, nao wataumiliki ufalme huo milele na milele.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana watapokea ufalme na kuumiliki milele: naam, milele na milele.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana watapokea ufalme na kuumiliki milele: naam, milele na milele.’ Tazama suraSwahili Roehl Bible 193718 Kisha watakatifu wake Alioko huko juu watapata ufalme, nao wataushika ufalme kale na kale, kweli siku zitakazokuja zote za kale na kale. Tazama sura |
Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, nao wakapewa mamlaka ya kutoa hukumu; nami nikaona roho zao waliokatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao wasiomsujudia yule mnyama, wala sanamu yake, wala kuipokea ile chapa katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mikono yao; nao wakawa hai, wakatawala pamoja na Kristo miaka elfu.