Danieli 7:17 - Swahili Revised Union Version17 Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 ‘Wanyama hao wanne wakubwa ni wafalme wanne watakaotokea duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 ‘Wanyama hao wanne wakubwa ni wafalme wanne watakaotokea duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 ‘Wanyama hao wanne wakubwa ni wafalme wanne watakaotokea duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 ‘Hao wanyama wanne wakubwa ni falme nne zitakazoinuka duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 ‘Hao wanyama wanne wakubwa ni falme nne zitakazoinuka duniani. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193717 Nyama wale wakubwa mno walio wanne ndio wafalme wanne watakaoinuka katika nchi. Tazama sura |