Danieli 5:8 - Swahili Revised Union Version8 Basi wakaingia wenye hekima wote wa mfalme; lakini hawakuweza kuyasoma yale maandiko, wala kumjulisha mfalme tafsiri yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Basi, wenye hekima wote wa mfalme wakaja, lakini hawakuweza kuyasoma maandishi hayo wala kumjulisha mfalme maana yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Basi, wenye hekima wote wa mfalme wakaja, lakini hawakuweza kuyasoma maandishi hayo wala kumjulisha mfalme maana yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Basi, wenye hekima wote wa mfalme wakaja, lakini hawakuweza kuyasoma maandishi hayo wala kumjulisha mfalme maana yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ndipo wenye hekima wote wa mfalme wakaingia, lakini hawakuweza kusoma yale maandishi wala kumwambia mfalme maana yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ndipo watu wote wa mfalme wenye hekima wakaingia, lakini hawakuweza kusoma yale maandishi wala kumwambia mfalme maana yake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19378 Basi, wakaingia wajuzi wote wa Babeli, lakini hawakuweza kuyasoma hayo maandiko wala kumjulisha mfalme maana yake. Tazama sura |