Danieli 5:24 - Swahili Revised Union Version24 Ndipo kile kiganja cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Basi, Mungu ametuma mkono uandike maandishi haya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193724 Kwa hiyo ukatumwa naye huo mgongo wa mkono na haya maandiko yaliyoandikwa hapa. Tazama sura |