Danieli 4:4 - Swahili Revised Union Version4 Mimi, Nebukadneza, nilikuwa nikistarehe nyumbani kwangu, nikineemeka katika nyumba yangu ya enzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Mimi, Nebukadneza, nilikuwa ninaishi raha mstarehe nyumbani kwangu na kufana katika ikulu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Mimi, Nebukadneza, nilikuwa ninaishi raha mstarehe nyumbani kwangu na kufana katika ikulu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Mimi, Nebukadneza, nilikuwa ninaishi raha mstarehe nyumbani kwangu na kufana katika ikulu yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mimi, Nebukadneza, nilikuwa nyumbani katika jumba langu la kifalme, nikiishi kwa raha na mafanikio. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mimi, Nebukadneza, nilikuwa nyumbani katika jumba langu la kifalme, nikiwa ninaishi kwa raha na hali ya kufanikiwa. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19374 Mimi Nebukadinesari nalitulia nyumbani mwangu, nikawapo na kufanikiwa katika jumba langu kuu. Tazama sura |