Danieli 2:8 - Swahili Revised Union Version8 Mfalme akajibu, akasema, Najua hakika ya kuwa mnataka kupata nafasi, kwa sababu mmeona ya kuwa lile neno lenyewe limeniondoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hapo mfalme akawakatiza kwa kusema, “Najua kweli kwamba mnajaribu kupoteza wakati kwa kuwa mnaona kwamba nilikwisha toa kauli yangu kamili, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hapo mfalme akawakatiza kwa kusema, “Najua kweli kwamba mnajaribu kupoteza wakati kwa kuwa mnaona kwamba nilikwisha toa kauli yangu kamili, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hapo mfalme akawakatiza kwa kusema, “Najua kweli kwamba mnajaribu kupoteza wakati kwa kuwa mnaona kwamba nilikwisha toa kauli yangu kamili, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ndipo mfalme akajibu, “Nina hakika kuwa mnajaribu kupata muda zaidi, kwa sababu mnatambua kuwa nimeamua hivi kwa uthabiti: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ndipo mfalme akajibu, “Nina hakika kuwa mnajaribu kupata muda zaidi, kwa sababu mnatambua kuwa nimeamua hivi kwa uthabiti: Tazama suraSwahili Roehl Bible 19378 Mfalme akajibu kwamba: Mimi najua kweli, ya kuwa ninyi mnataka kujipatia siku, kwa kuwa mmeona, ya kama neno langu haligeuzwi. Tazama sura |