Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 2:33 - Swahili Revised Union Version

33 miguu yake ni ya chuma; na nyayo za miguu yake nusu ya chuma na nusu ya udongo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 miguu yake ilikuwa ya chuma; na nyayo zake zilikuwa chuma na sehemu nyingine udongo uliochomwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 miguu yake ilikuwa ya chuma, na nyayo zake zilikuwa chuma nazo sehemu nyingine zilikuwa udongo wa mfinyanzi uliochomwa.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

33 mapaja yake yalikuwa ya chuma, miguu yake ilikuwa nusu ya chuma, nusu ya udongo.

Tazama sura Nakili




Danieli 2:33
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba;


Nawe ukatazama hata jiwe likachongwa bila kazi ya mikono, nalo jiwe hilo likaipiga sanamu miguu yake, iliyokuwa ya chuma na udongo, likaivunja vipande vipande.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo