Danieli 12:12 - Swahili Revised Union Version12 Heri angojaye, na kuzifikia siku hizo elfu na mia tatu na thelathini na tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Heri yao watakaostahimili mpaka siku zile 1,335 zitakapotimia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Heri yao watakaostahimili mpaka siku zile 1,335 zitakapotimia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Heri yao watakaostahimili mpaka siku zile 1,335 zitakapotimia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kubarikiwa ni yule atakayevumilia hadi kufikia mwisho wa hizo siku elfu moja mia tatu na thelathini na tano (1,335). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Amebarikiwa mtu yule atakayevumilia hadi kufikia mwisho wa hizo siku 1,335. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193712 Mwenye shangwe atakuwa angojeaye, afikishe siku 1335! Tazama sura |
Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, nao wakapewa mamlaka ya kutoa hukumu; nami nikaona roho zao waliokatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao wasiomsujudia yule mnyama, wala sanamu yake, wala kuipokea ile chapa katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mikono yao; nao wakawa hai, wakatawala pamoja na Kristo miaka elfu.