Danieli 11:5 - Swahili Revised Union Version5 Na mfalme wa kusini atakuwa na nguvu; lakini mmoja wa maofisa wake atakuwa na nguvu zaidi kuliko yeye, na atatawala; himaya kubwa zaidi kuliko yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “ ‘Mfalme wa kusini atakuwa mwenye nguvu. Lakini mmoja wa majemadari wake atakuwa na nguvu kuliko yeye na utawala wake utakuwa mkubwa zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “ ‘Mfalme wa kusini atakuwa mwenye nguvu. Lakini mmoja wa majemadari wake atakuwa na nguvu kuliko yeye na utawala wake utakuwa mkubwa zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “‘Mfalme wa kusini atakuwa mwenye nguvu. Lakini mmoja wa majemadari wake atakuwa na nguvu kuliko yeye na utawala wake utakuwa mkubwa zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Mfalme wa Kusini atakuwa na nguvu, lakini mmoja wa majemadari wake atakuwa na nguvu zaidi yake, naye atatawala ufalme wake mwenyewe kwa nguvu nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Mfalme wa Kusini atakuwa na nguvu, lakini mmoja wa majemadari wake atakuwa na nguvu zaidi kuliko mfalme, naye atatawala ufalme wake mwenyewe kwa nguvu nyingi. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19375 Kisha mfalme wa kusini atapata nguvu, lakini mmoja wa wakuu wake atapata nguvu kumshinda mwenyewe, kisha atatawala kwa uwezo, nao ufalme wake utakuwa mkubwa. Tazama sura |