Danieli 11:35 - Swahili Revised Union Version35 Na baadhi yao wenye hekima wataanguka, ili kuwatakasa, na kuwasafisha, na kuwafanya weupe, hata wakati wa mwisho; kwa maana ni kwa wakati ulioamriwa, ambao haujaja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Baadhi ya wenye hekima watauawa, ili wapate kuondolewa uchafu, kutakaswa na kusafishwa, mpaka wakati wa mwisho, ambao sasa bado haujatimia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Baadhi ya wenye hekima watauawa, ili wapate kuondolewa uchafu, kutakaswa na kusafishwa, mpaka wakati wa mwisho, ambao sasa bado haujatimia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Baadhi ya wenye hekima watauawa, ili wapate kuondolewa uchafu, kutakaswa na kusafishwa, mpaka wakati wa mwisho, ambao sasa bado haujatimia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Baadhi ya wenye hekima watajikwaa, ili waweze kusafishwa, kutakaswa na kufanywa wasio na waa hadi wakati wa mwisho, kwa maana bado litakuja kwa wakati ulioamriwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Baadhi ya wenye hekima watajikwaa, ili waweze kusafishwa, kutakaswa na kufanywa wasio na waa mpaka wakati wa mwisho, kwa maana bado litakuja kwa wakati ulioamriwa. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193735 Namo miongoni mwao hao wenye ujuzi wengine watajikwaa, wapate kuyeyushwa, kusudi watakaswe na kueuliwa, mpaka siku za mwisho zitakapotimia, nao utakuja siku zilezile zilizokwisha kukatwa. Tazama sura |