Danieli 11:31 - Swahili Revised Union Version31 Na wenye silaha watasimama upande wake, nao watapatia unajisi mahali patakatifu, ndiyo ngome, nao wataondoa sadaka ya kuteketezwa ya kila siku, nao watalisimamisha chukizo la uharibifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Wanajeshi wake watalitia najisi hekalu na ngome zake, watakomesha tambiko za kuteketezwa kila siku na kusimamisha huko hekaluni chukizo haribifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Wanajeshi wake watalitia najisi hekalu na ngome zake, watakomesha tambiko za kuteketezwa kila siku na kusimamisha huko hekaluni chukizo haribifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Wanajeshi wake watalitia najisi hekalu na ngome zake, watakomesha tambiko za kuteketezwa kila siku na kusimamisha huko hekaluni chukizo haribifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 “Majeshi yake yenye silaha yatainuka ili kunajisi ngome ya Hekalu, na kuondolea mbali sadaka ya kuteketezwa ya kila siku. Ndipo watalisimamisha chukizo la uharibifu linalosababisha ukiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 “Majeshi yake yenye silaha yatainuka ili kunajisi ngome ya Hekalu, na kuondolea mbali sadaka ya kuteketezwa ya kila siku. Ndipo watalisimamisha chukizo la uharibifu lisababishalo ukiwa. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193731 Kisha mikono yao, aliowaweka huko, itapachafua Patakatifu palipokuwa boma la nguvu, watayakomesha matambiko ya kila siku, kisha wataweka hapo mwangamizaji atapishaye. Tazama sura |