Danieli 11:30 - Swahili Revised Union Version30 Maana merikebu za Kitimu zitakuja kupigana naye; basi atavunjika moyo, naye atarudi na kulighadhibikia hilo agano takatifu; na kutenda kadiri apendavyo; naam, atarudi, na kuwasikiliza walioacha hilo agano takatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Meli kutoka Kitimu zitamshambulia, naye atashikwa na hofu. Kisha atarudi nyuma huku amejaa hasira na atalitangua agano takatifu. Hapo atafuata shauri la wale walioasi agano takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Meli kutoka Kitimu zitamshambulia, naye atashikwa na hofu. Kisha atarudi nyuma huku amejaa hasira na atalitangua agano takatifu. Hapo atafuata shauri la wale walioasi agano takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Meli kutoka Kitimu zitamshambulia, naye atashikwa na hofu. Kisha atarudi nyuma huku amejaa hasira na atalitangua agano takatifu. Hapo atafuata shauri la wale walioasi agano takatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Meli za nchi ya Kitimu zitampinga, naye atavunjika moyo. Ndipo atarudi nyuma na kutoa hasira yake dhidi ya agano takatifu. Atarudi na kuonesha fadhili kwa wale wanaoliacha agano takatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Meli za nchi ya Kitimu zitampinga, naye atavunjika moyo. Ndipo atarudi nyuma na kutoa wazi hasira yake dhidi ya agano takatifu. Atarudi na kuonyesha fadhili kwa wale waliachao agano takatifu. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193730 Kwani merikebu za Wakiti zitamjia; ndipo, moyo utakapompotea. Basi, atarudi, alitolee Agano takatifu makali yake, kisha atarudi akiwatazamia walioliacha hilo Agano takatifu. Tazama sura |