Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 11:3 - Swahili Revised Union Version

3 Na mfalme hodari atasimama, atakayetawala kwa uwezo mkuu, na kutenda apendavyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kisha atatokea mfalme hodari atakayetawala eneo kubwa na kufanya atakavyopenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kisha atatokea mfalme hodari atakayetawala eneo kubwa na kufanya atakavyopenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kisha atatokea mfalme hodari atakayetawala eneo kubwa na kufanya atakavyopenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ndipo mfalme mwenye nguvu atatokea, atakayetawala kwa nguvu nyingi, na kufanya anavyopenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ndipo mfalme mwenye nguvu atatokea, ambaye atatawala kwa nguvu nyingi na kufanya anavyopenda.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

3 Kisha ataondokea mfalme mwenye nguvu za kupiga vita, naye atatawala kwa uwezo mwingi, atafanya yatakayompendeza.

Tazama sura Nakili




Danieli 11:3
10 Marejeleo ya Msalaba  

Maana ajaye kupigana naye atatenda kadiri apendavyo, wala hapana mtu atakayesimama mbele yake; naye atasimama katika nchi ya uzuri, na uharibifu utakuwa mkononi mwake.


Naye mfalme atafanya kama apendavyo; naye atajitukuza na kujiadhimisha juu ya kila mungu, naye atanena maneno ya ajabu juu ya Mungu wa miungu, naye atafanikiwa mpaka ghadhabu itakapotimia; maana yaliyokusudiwa yatafanyika.


na watu wote wanaokaa duniani wamehesabiwa kuwa si kitu, naye hufanya kama atakavyo, katika jeshi la mbinguni, na katika hao wanaokaa duniani; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake, wala kumwuliza, Unafanya nini wewe?


na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.


Kisha nikatazama, na kumbe! Mnyama mwingine, kama chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vinne; akapewa mamlaka.


Na yule beberu, mwenye manyoya mengi, ni mfalme wa Ugiriki; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.


na ndani yake sisi nasi tulifanywa urithi, huku tukichaguliwa tangu awali sawasawa na kusudi lake yeye, ambaye hufanya mambo yote kwa shauri la mapenzi yake.


Mungu naye akishuhudia pamoja nao kwa ishara na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa karama za Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.


Kwa kupenda kwake mwenyewe alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo