Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Danieli 1:11 - Swahili Revised Union Version

11 Ndipo Danieli akamwambia yule msimamizi, ambaye mkuu wa matowashi amemweka juu ya Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Hapo Danieli akamwendea mtumishi aliyewekwa na towashi mkuu kumlinda yeye na wenzake kina Hanania, Mishaeli na Azaria, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Hapo Danieli akamwendea mtumishi aliyewekwa na towashi mkuu kumlinda yeye na wenzake kina Hanania, Mishaeli na Azaria, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Hapo Danieli akamwendea mtumishi aliyewekwa na towashi mkuu kumlinda yeye na wenzake kina Hanania, Mishaeli na Azaria, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ndipo Danieli akamwambia mlinzi aliyeteuliwa na huyo mkuu wa maafisa kuwasimamia Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ndipo Danieli akamwambia mlinzi aliyeteuliwa na huyo mkuu wa maafisa kuwasimamia Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria,

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

11 Ndipo, Danieli aliposema na mtunza mvinyo, maana ndiye, mkuu wa watumishi wa nyumbani aliyemweka kuwasimamia akina Danieli na Hanania na Misaeli na Azaria, akamwambia:

Tazama sura Nakili

Danieli 1:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mkuu wa matowashi akamwambia Danieli, Mimi namwogopa bwana wangu, mfalme, aliyewaagizia ninyi chakula chenu na kinywaji chenu; kwa nini azione nyuso zenu kuwa hazipendezi kama nyuso za vijana wa rika lenu? Basi kwa kufanya hivyo mtahatarisha kichwa changu mbele ya mfalme.

Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mboga za majani tule, na maji tunywe.

Basi yule msimamizi akaiondoa posho yao ya chakula, na ile divai waliyopewa wanywe, akawapa mtama tu.

Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo