Amosi 9:15 - Swahili Revised Union Version15 Nami nitawapanda katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena watoke katika nchi yao niliyowapa, asema BWANA, Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nitawasimika katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena kutoka katika nchi niliyowapa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nitawasimika katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena kutoka katika nchi niliyowapa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nitawasimika katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena kutoka katika nchi niliyowapa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe, hawatang’olewa tena kutoka nchi niliyowapa,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe, hawatang’olewa tena kutoka nchi ambayo nimewapa,” asema bwana Mwenyezi Mungu wenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Nami nitawapanda katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena watoke katika nchi yao niliyowapa, asema BWANA, Mungu wako. Tazama sura |