Amosi 8:4 - Swahili Revised Union Version4 Lisikieni hili, ninyi mnaopenda kuwameza wahitaji, na kuwakomesha maskini wa nchi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Sikilizeni enyi mnaowakandamiza wanyonge na kuwaletea maangamizi fukara wa nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Sikilizeni enyi mnaowakandamiza wanyonge na kuwaletea maangamizi fukara wa nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Sikilizeni enyi mnaowakandamiza wanyonge na kuwaletea maangamizi fukara wa nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, na kuwaonea maskini wa nchi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, na kuwaonea maskini wa nchi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Lisikieni hili, ninyi mnaopenda kuwameza wahitaji, na kuwakomesha maskini wa nchi, Tazama sura |