Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Amosi 5:9 - Swahili Revised Union Version

9 yeye aletaye uharibifu wa ghafla juu ya wenye nguvu, hata kuiharibu ngome.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Yeye ndiye anayewaangamiza wenye nguvu, na kuziharibu ngome zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Yeye ndiye anayewaangamiza wenye nguvu, na kuziharibu ngome zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Yeye ndiye anayewaangamiza wenye nguvu, na kuziharibu ngome zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 yeye hufanya maangamizi kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 yeye hufanya maangamizo kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 yeye aletaye uharibifu wa ghafla juu ya wenye nguvu, hata kuiharibu ngome.

Tazama sura Nakili




Amosi 5:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Lifungue dirisha linaloelekea mashariki; akalifungua. Basi Elisha akasema, Piga; akapiga. Akasema, Mshale wa BWANA wa kushinda, naam, mshale wa kushinda Shamu, kwa maana utawapiga Washami katika Afeki hata utakapowaangamiza.


Naye Yehoashi, mwana wa Yehoahazi, akaitwaa tena mkononi mwa Ben-hadadi mwana wa Hazaeli miji ile aliyoitwaa yeye mkononi mwa Yehoahazi baba yake vitani. Mara tatu Yehoashi akamshinda, akairudisha miji ya Israeli.


Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi laini, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na kwa ghafla.


Maana mngelipiga jeshi lote la Wakaldayo wanaopigana nanyi, wakabaki kati yao watu waliojeruhiwa tu, hata hivyo wangeondoka kila mtu katika hema yake, na kuuteketeza mji huu.


Naye apigaye mbio atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa hatajiokoa nafsi yake;


nami nitaikatilia mbali miji ya nchi yako, na ngome zako zote nitaziangusha;


walizima nguvu za moto, waliokoka kutoka kwa makali ya upanga. Walitiwa nguvu baada ya kuwa dhaifu, walikuwa hodari katika vita, walikimbiza majeshi ya wageni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo