Amosi 5:24 - Swahili Revised Union Version24 Lakini hukumu na iteremke kama maji, na haki kama maji makuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Lakini acheni haki itiririke kama mto, na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Lakini acheni haki itiririke kama mto, na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Lakini hukumu na iteremke kama maji, na haki kama maji makuu. Tazama sura |