Amosi 5:23 - Swahili Revised Union Version23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Ondoeni mbele yangu kelele za nyimbo zenu! Sitaki kusikiliza muziki wa vinubi vyenu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Ondoeni mbele yangu kelele za nyimbo zenu! Sitaki kusikiliza muziki wa vinubi vyenu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Ondoeni mbele yangu kelele za nyimbo zenu! Sitaki kusikiliza muziki wa vinubi vyenu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu! Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu! Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu. Tazama sura |