Amosi 4:3 - Swahili Revised Union Version3 Nanyi mtatoka kwenye mahali palipobomolewa, kila mwanamke moja kwa moja mbele yake; nanyi mtajitupa katika Harmoni, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mtaburutwa hadi ukutani palipobomolewa, na kutupwa nje. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mtaburutwa hadi ukutani palipobomolewa, na kutupwa nje. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mtaburutwa hadi ukutani palipobomolewa, na kutupwa nje. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nanyi mtaenda moja kwa moja kupitia mahali palipobomolewa kwenye ukuta, nanyi mtatupwa nje kuelekea Harmoni,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nanyi mtakwenda moja kwa moja kupitia mahali palipobomolewa kwenye ukuta, nanyi mtatupwa nje kuelekea Harmoni,” asema bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nanyi mtatoka kwenye mahali palipobomolewa, kila mwanamke moja kwa moja mbele yake; nanyi mtajitupa katika Harmoni, asema BWANA. Tazama sura |