2 Yohana 1:3 - Swahili Revised Union Version3 Neema, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Neema na huruma na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika ukweli na upendo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Neema na huruma na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika ukweli na upendo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Neema na huruma na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika ukweli na upendo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Neema, rehema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi na kwa Isa Al-Masihi, Mwanawe Baba, zitakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Isa Al-Masihi, Mwanawe Baba, itakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Neema, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo. Tazama sura |