2 Wakorintho 10:4 - Swahili Revised Union Version4 (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) Tazama sura |
Basi watu wakapiga kelele, na makuhani wakazipiga tarumbeta; hata ikawa, hapo watu waliposikia mlio wa mabaragumu hao watu wakapiga kelele kwa sauti kuu sana, na ule ukuta wa mji ukaanguka chini kabisa, hata watu wakapanda juu, wakaingia katika mji, kila mtu akisonga mbele kukabili; wakautwaa huo mji.