2 Wafalme 4:11 - Swahili Revised Union Version11 Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala. Tazama sura |